1
Zaburi 148:13
Biblia Habari Njema
BHND
Nyote lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, maana jina lake peke yake latukuka; utukufu wake wapita dunia na mbingu.
Compare
Explore Zaburi 148:13
2
Zaburi 148:5
Vyote vilisifu jina la Mwenyezi-Mungu, maana yeye aliamuru, na vyote vikawa.
Explore Zaburi 148:5
3
Zaburi 148:1
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.
Explore Zaburi 148:1