1
Waroma 12:2
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Msijifananishe nao walio wa siku hizi tu, ila mgeuke, mpewe mawazo mapya, mpate kuyapambanua, Mungu ayatakayo kwamba: Ni mema ya kumpendeza hapo, yatakapotimilika.
Compare
Explore Waroma 12:2
2
Waroma 12:1
*Nawaonya, ndugu, kwa hivyo, Mungu alivyowaonea uchungu, mtoe miili yenu, iwe vipaji vitakatifu vya tambiko vyenye uzima vya kumpendeza Mungu; huko ndiko kumtumikia Mungu kunakoelekea.
Explore Waroma 12:1
3
Waroma 12:12
Furahini, ya kwamba mnacho kingojeo! Yavumilieni maumivu! Fulizeni kuomba!
Explore Waroma 12:12
4
Waroma 12:21
Usishindwe nayo yaliyo maovu, ila maovu uyashinde kwa mema!*
Explore Waroma 12:21
5
Waroma 12:10
Mpendane kindugu kwa mioyo, tena mwongozane na kuheshimiana ninyi kwa ninyi!
Explore Waroma 12:10
6
Waroma 12:9
Mapendano yasiwe ya uwongo! Yachukieni yaliyo mabaya mkigandamiana nayo yaliyo mema!
Explore Waroma 12:9
7
Waroma 12:18
Kwa hivyo, mlivyo, mwe wenye kupatana na watu wote, ikiwezekana!
Explore Waroma 12:18
8
Waroma 12:19
Wapendwa, msijilipize wenyewe, ila jitengeni, makali (ya Mungu) yapate kutokea! Kwani imeandikwa: Bwana anasema: Lipizi ni langu mimi, ni mimi nitakayelipisha.
Explore Waroma 12:19
9
Waroma 12:11
Msilegee, panapotakwa wenye kujikaza! Roho zenu ziwe zenye moto mnapomtumikia Bwana!
Explore Waroma 12:11
10
Waroma 12:3
Kwa kipaji, nilichogawiwa, namwambia kila mmoja wa kwenu, asiwaze makuu yanayopapita hapo panapopasa kuwaza. Ila awaze, jinsi atakavyopata kuerevuka, kila mtu, kama Mungu alivyomgawia kumtegemea.
Explore Waroma 12:3
11
Waroma 12:17
*Msimlipe mtu maovu kwa maovu! Yawazeni yaliyo mazuri mbele ya watu wote!
Explore Waroma 12:17
12
Waroma 12:16
Mioyo yenu nyote sharti iwe mmoja! Msiyatunukie yaliyo makuu, ila yaliyo manyonge, mfuatane nayo! Msijiwazie wenyewe kuwa wenye akili!*
Explore Waroma 12:16
13
Waroma 12:20
Lakini mchukivu wako akiwa ana njaa, mpe chakula! Akiwa ana kiu, mpe cha kunywa! Kwani ukivifanya hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
Explore Waroma 12:20
14
Waroma 12:14-15
Changeni bia, mwapatie watakatifu, wanavyovikosa! Wageni wapokeeni pasipo kunung'unika! Furahini pamoja nao wafurahio! Lieni pamoja nao waliao!
Explore Waroma 12:14-15
15
Waroma 12:13
Changeni bia, mwapatie watakatifu, wanavyovikosa! Wageni wapokeeni pasipo kunung'unika!
Explore Waroma 12:13
16
Waroma 12:4-5
Kwani ni vivyo hivy: tunavyo viungo vingi katika mwili mmoja, lakini viungo vyote havina kazi moja. Vivyo sisi tulio wengi tu mwili mmoja, kwa maana tu wa Kristo, tena kila mmoja na mwenzake tu viungo tu.
Explore Waroma 12:4-5
Home
Bible
Plans
Videos