1
Marko 1:35
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Asubuhi na mapema sana akainuka, akatoka, akaenda zake mahali palipokuwa pasipo watu; hapo ndipo, alipomwomba Mungu.
Compare
Explore Marko 1:35
2
Marko 1:15
akasema: Siku zimetimia, nao ufalme wa Mungu umekaribia. Juteni, mwutegemee Utume mwema!
Explore Marko 1:15
3
Marko 1:10-11
Papo hapo alipotoka majini akaona, mbingu zikipasuka, akamwona Roho, anavyomshukia kama njiwa. Sauti ikatoka mbinguni: Wewe ndiwe mwanangu mpendwa, nimependezwa na wewe.
Explore Marko 1:10-11
4
Marko 1:8
Mimi nimewabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho takatifu.
Explore Marko 1:8
5
Marko 1:17-18
Yesu akawaambia: Njoni, mnifuate! Nami nitawafanya kuwa wavua watu. Papo hapo wakaziacha nyavu, wakamfuata.
Explore Marko 1:17-18
6
Marko 1:22
Wakashangazwa na mafundisho yake; kwani alikuwa akiwafundisha kama mwenye nguvu, si kama waandishi.
Explore Marko 1:22
Home
Bible
Plans
Videos