1
Mateo 4:4
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Naye akamjibu: Imeandikwa: Mtu hataishi kwa chakula tu, ila kwa kila neno linalotoka kinywani mwa Mungu.
Compare
Explore Mateo 4:4
2
Mateo 4:10
Hapo Yesu akamwambia: Nenda zako, Satani! Kwani imeandikwa: Umwangukie Bwana Mungu wako na kumtumikia peke yake!
Explore Mateo 4:10
3
Mateo 4:7
Yesu akamwambia: Tena imeandikwa: Usimjaribu Bwana Mungu wako!
Explore Mateo 4:7
4
Mateo 4:1-2
Kisha Yesu akapelekwa na Roho nyikani, ajaribiwe na Msengenyaji. Akafunga siku 40 mchana na usiku, kisha akaona njaa.
Explore Mateo 4:1-2
5
Mateo 4:19-20
Akawaambia: Njoni, mnifuate! Nami nitawafanya kuwa wavua watu. Papo hapo wakaziacha nyavu, wakamfuata.
Explore Mateo 4:19-20
6
Mateo 4:17
Tangu hapo ndipo, Yesu alipoanzia kupiga mbiu akisema: Juteni! Kwani ufalme wa mbingu umekaribia.
Explore Mateo 4:17
Home
Bible
Plans
Videos