1
Warumi 4:20-21
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Wala hakuionea shaka ahadi ya Mungu kwa kutokuamini, bali alitiwa nguvu kwa imani yake, akimtukuza Mungu, akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
Compare
Explore Warumi 4:20-21
2
Warumi 4:17
(kama ilivyoandikwa, Nimekuweka kuwa baba wa mataifa mengi) mbele zake aliyemwamini, yaani Mungu, mwenye kuwahuisha wafu, avitajae vitu visivyokuwa kana kwamba vimekuwa.
Explore Warumi 4:17
3
Warumi 4:25
aliyetolewa kwa ajili ya makosa yetu, na kufufuliwa illi tupate kupewa haki.
Explore Warumi 4:25
4
Warumi 4:18
Ambae aliamini kwa kutazamia yasiyoweza kutazamiwa, kuwa baba wa mataifa mengi, kama ilivyonenwa, Ndivyo utakavyokuwa nzao wako.
Explore Warumi 4:18
5
Warumi 4:16
Kwa hiyo ilitoka kwa imani, iwe kwa njia ya neema, illi ile ahadi iwe imara kwa wazao wote, si kwa wale wa torati tu, illa na kwa wale wa imani ya Ibrahimu aliye baba yetu sisi sote
Explore Warumi 4:16
6
Warumi 4:7-8
Wa kheri waliosamehewa maasi yao, Na waliosetiriwa dhambi zao. Yu kheri mtu yule ambae Bwana hamhesabii dhambi.
Explore Warumi 4:7-8
7
Warumi 4:3
Maana maandiko yasemaje? Ibrabimu alimwamini Mungu, ikahesabiwa kwake kuwa haki.
Explore Warumi 4:3
Home
Bible
Plans
Videos