1
Matendo 6:3-4
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Bassi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, illi tuwaweke juu ya jambo hili: na sisi tutadumu katika kumwomba Mungu na kulikhudumia Neno lake.
Compare
Explore Matendo 6:3-4
2
Matendo 6:7
Nenu la Mungu likaenea: hesahu ya wanafunzi ikazidi sana katika Yerusalemi: jamii kubwa la makuhani wakaitii Imani.
Explore Matendo 6:7
Home
Bible
Plans
Videos