1
1 Wakorintho 7:5
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, illi mpate faragha kwa kufunga na kuomba, mkajiane tena, Shetani asije akawajarihu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Compare
Explore 1 Wakorintho 7:5
2
1 Wakorintho 7:3-4
Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mume wake; na vivyo hivyo mume hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mke wake.
Explore 1 Wakorintho 7:3-4
3
1 Wakorintho 7:23
Mlinunuliwa kwa thamani; msiwe watumwa wa wana Adamu.
Explore 1 Wakorintho 7:23
Home
Bible
Plans
Videos