1
Ruta 1:16
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Lakini Ruta akamujibu: “Usinisihi nikuache wewe, wala usinizuie kufuatana nawe. Popote utakapokwenda ndipo nami nitakapokwenda, na pale utakapokaa mimi nitakaa, watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.
Compare
Explore Ruta 1:16
2
Ruta 1:17
Pale utakapokufia ni pale nitakufia nami, na ni palepale nitazikwa. Yawe anipe azabu kali kama nikitenganishwa nawe isipokuwa tu kwa kifo.”
Explore Ruta 1:17