1
Yobu 40:2
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Wewe mwenye kuchunguza makosa utashindana na Mungu Mwenye Uwezo? Wewe unayebishana nami Mungu, basi ujibu mambo hayo!
Compare
Explore Yobu 40:2
2
Yobu 40:4
Mimi sifai kitu. Nitakujibu nini? Ninafunga kinywa changu.
Explore Yobu 40:4