1
Yobu 22:21-22
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Sasa, Yobu, ukubaliane na Mungu ukuwe na amani, na kwa hiyo mazuri yatakufikia. Pokea mafundisho kutoka kwake; na uyaweke maneno yake ndani ya moyo wako.
Compare
Explore Yobu 22:21-22
2
Yobu 22:27
Utamwomba naye atakusikiliza, nawe utavitimiza viapo vyako.
Explore Yobu 22:27
3
Yobu 22:23
Ukimurudilia Mungu na kunyenyekea, ukiondoa uovu mbali na makao yako
Explore Yobu 22:23