1
Yeremia 33:3
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Uniite, nami nitakujibu na kukuambia mambo makubwa yaliyofichwa ambayo haujapata kuyajua.
Compare
Explore Yeremia 33:3
2
Yeremia 33:6-7
Hata hivyo, mimi nitauponyesha muji huu na kuwapa watu wake afya; nitawajalia ustawi mwingi na usalama. Nitawastawisha tena Wayuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo zamani.
Explore Yeremia 33:6-7
3
Yeremia 33:8
Nitatakasa zambi zao zote na kuwasamehe uovu wao na uasi walionitendea.
Explore Yeremia 33:8