1
Isaya 17:1
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Ujumbe wa Mungu juu ya muji wa Damasiki. Damasiki utakoma kuwa muji; utakuwa lundo la mabomoko.
Compare
Explore Isaya 17:1
2
Isaya 17:3
Pango za Efuraimu zitatoweka, na utawala wa Damasiki utakwisha. Waaramu ambao watabaki wazima, hawatakuwa na utukufu zaidi kama wazao wa Israeli. –Ni ujumbe wa Yawe wa majeshi.
Explore Isaya 17:3
3
Isaya 17:4
Siku hiyo, utukufu wa Yakobo utaporomoshwa, na unono wake utapotea.
Explore Isaya 17:4
4
Isaya 17:2
Miji inayokuwa chini yake imeachwa matongo milele. Itakuwa makao ya makundi ya nyama, wala hakuna mutu atakayewatisha.
Explore Isaya 17:2