1
Hosea 2:19-20
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Maana, nitalifanya jina la Bali lisitajike tena katika kinywa chako. Nitafanya agano na nyama wa pori, ndege pamoja na vyote vinavyotambaa, kusudi wasikuumize. Nitaondoa upinde, upanga na silaha za vita katika inchi, na kukufanya uishi kwa usalama.
Compare
Explore Hosea 2:19-20
2
Hosea 2:15
Nitamulipiza kwa ajili ya siku alizoabudu sanamu za mungu Bali, kwa ajili ya muda alioutumia kuzifukizia ubani, akajipamba kwa pete zake na ushanga, na kuwaendea wapenzi wake, akanisahau mimi. –Ni ujumbe wa Yawe.
Explore Hosea 2:15