1
Ezekieli 43:4-5
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Nao utukufu wa Yawe uliingia katika nyumba ya Yawe kwa njia ya mulango wa mashariki. Kisha roho akanitwaa na kunipeleka kwenye kiwanja cha ndani. Nikaona utukufu wa Yawe ukiwa umeijaza nyumba ya Yawe.
Compare
Explore Ezekieli 43:4-5