1
Kumbukumbu la Sheria 17:19
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Mufano huo atakuwa nao siku zote na kuusoma maisha yake yote, kusudi apate kujifunza kumwogopa Yawe, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 17:19
2
Kumbukumbu la Sheria 17:17
Wala asijipatie wake wengi; kama sivyo moyo wake utaasi. Wala asijipatie feza na zahabu kwa wingi sana.
Explore Kumbukumbu la Sheria 17:17
3
Kumbukumbu la Sheria 17:18
Atakapokuwa akiikalia kiti cha ufalme anapaswa kuandika mufano wa sheria hii katika kitabu kinachokuwa mbele ya makuhani wa Kilawi.
Explore Kumbukumbu la Sheria 17:18
Home
Bible
Plans
Videos