1
Mathayo 9:37-38
Swahili Revised Union Version
SRUV
Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini wafanya kazi ni wachache. Basi mwombeni Bwana wa mavuno, atume wafanya kazi katika mavuno yake.
Compare
Explore Mathayo 9:37-38
2
Mathayo 9:13
Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
Explore Mathayo 9:13
3
Mathayo 9:36
Na alipowaona makutano, aliwahurumia, kwa sababu walikuwa wamechoka na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji.
Explore Mathayo 9:36
4
Mathayo 9:12
Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa.
Explore Mathayo 9:12
5
Mathayo 9:35
Naye Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina.
Explore Mathayo 9:35
Home
Bible
Plans
Videos