1
Zab 72:18
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
SUV
Na ahimidiwe BWANA, Mungu, Mungu wa Israeli, Atendaye miujiza Yeye peke yake
Compare
Explore Zab 72:18
2
Zab 72:19
Jina lake tukufu na lihimidiwe milele; Dunia yote na ijae utukufu wake. Amina na Amina.
Explore Zab 72:19
3
Zab 72:12
Kwa maana atamkomboa mhitaji aliapo, Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi.
Explore Zab 72:12