1
Zab 61:1-2
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
SUV
Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu. Toka mwisho wa nchi nitakulilia nikizimia moyo, Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.
Compare
Explore Zab 61:1-2
2
Zab 61:3
Kwa maana ulikuwa kimbilio langu, Ngome yenye nguvu adui asinipate.
Explore Zab 61:3
3
Zab 61:4
Nitakaa katika hema yako milele, Nitaikimbilia sitara ya mbawa zako
Explore Zab 61:4