1
Zab 44:8
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
SUV
Tumejisifia Mungu mchana kutwa, Na jina lako tutalishukuru milele.
Compare
Explore Zab 44:8
2
Zab 44:6-7
Maana sitautumainia upinde wangu, Wala upanga wangu hautaniokoa. Bali Wewe ndiwe uliyetuokoa na watesi wetu; Na watuchukiao umewaaibisha.
Explore Zab 44:6-7
3
Zab 44:26
Uondoke, uwe msaada wetu, Utukomboe kwa ajili ya fadhili zako.
Explore Zab 44:26