1
Zab 104:34
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
SUV
Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA.
Compare
Explore Zab 104:34
2
Zab 104:33
Nitamwimbia BWANA maadamu ninaishi; Nitamshangilia Mungu wangu nikiwa hai
Explore Zab 104:33
3
Zab 104:1
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Wewe, BWANA, Mungu wangu, Umejifanya mkuu sana; Umejivika heshima na adhama.
Explore Zab 104:1