1
Sefania 1:18
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Fedha yao wala dhahabu yao hazitaweza kuwaokoa katika siku hiyo ya ghadhabu ya BWANA. Katika moto wa wivu wake dunia yote itateketezwa, kwa maana ghafula ataleta mwisho wa wote wanaoishi duniani.”
Compare
Explore Sefania 1:18
2
Sefania 1:14
“Siku kubwa ya BWANA iko karibu: iko karibu na inakuja haraka. Sikilizeni! Kilio katika siku ya BWANA kitakuwa chungu. Shujaa atapiga ukelele wa vita huko.
Explore Sefania 1:14
3
Sefania 1:7
Nyamazeni mbele za BWANA Mwenyezi, kwa maana siku ya BWANA iko karibu. BWANA ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika.
Explore Sefania 1:7
Home
Bible
Plans
Videos