1
Zaburi 27:14
Neno
NEN
Mngojee BWANA; uwe hodari na mwenye moyo mkuu, na umngojee BWANA.
Compare
Explore Zaburi 27:14
2
Zaburi 27:4
Jambo moja ninamwomba BWANA, hili ndilo ninalolitafuta: niweze kukaa nyumbani mwa BWANA siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wa BWANA na kumtafuta hekaluni mwake.
Explore Zaburi 27:4
3
Zaburi 27:1
BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani?
Explore Zaburi 27:1
4
Zaburi 27:13
Nami bado nina tumaini hili: nitauona wema wa BWANA katika nchi ya walio hai.
Explore Zaburi 27:13
5
Zaburi 27:5
Kwa kuwa siku ya shida, atanihifadhi salama katika maskani yake, atanificha uvulini mwa hema lake, na kuniweka juu kwenye mwamba.
Explore Zaburi 27:5