1
Zaburi 138:7
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa.
Compare
Explore Zaburi 138:7
2
Zaburi 138:3
Nilipoita, ulinijibu; ulinifanya jasiri na mwenye moyo hodari.
Explore Zaburi 138:3
3
Zaburi 138:1
Nitakusifu wewe, Ee BWANA, kwa moyo wangu wote, mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako.
Explore Zaburi 138:1
Home
Bible
Plans
Videos