1
Zaburi 107:1
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Mshukuruni BWANA, kwa kuwa yeye ni mwema, fadhili zake zadumu milele.
Compare
Explore Zaburi 107:1
2
Zaburi 107:20
Akalituma neno lake na kuwaponya, akawaokoa kutoka maangamizi yao.
Explore Zaburi 107:20
3
Zaburi 107:8-9
Basi na wamshukuru BWANA kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu, kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema.
Explore Zaburi 107:8-9
4
Zaburi 107:28-29
Ndipo walipomlilia BWANA katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao. Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, mawimbi ya bahari yakatulia.
Explore Zaburi 107:28-29
5
Zaburi 107:6
Ndipo walipomlilia BWANA katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao.
Explore Zaburi 107:6
6
Zaburi 107:19
Explore Zaburi 107:19
7
Zaburi 107:13
Explore Zaburi 107:13
Home
Bible
Plans
Videos