1
Mithali 8:35
Neno
NEN
Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima, na kujipatia kibali kutoka kwa BWANA.
Compare
Explore Mithali 8:35
2
Mithali 8:13
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; ninachukia kiburi na majivuno, tabia mbaya na mazungumzo potovu.
Explore Mithali 8:13
3
Mithali 8:10-11
Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi, kwa maana hekima ina thamani kuliko marijani na hakuna chochote unachohitaji kinacholingana naye.
Explore Mithali 8:10-11
Home
Bible
Plans
Videos