1
Mithali 22:6
Neno
NEN
Mfundishe mtoto njia impasayo kuiendea, naye hataiacha hata akiwa mzee.
Compare
Explore Mithali 22:6
2
Mithali 22:4
Unyenyekevu na kumcha BWANA huleta utajiri, heshima na uzima.
Explore Mithali 22:4
3
Mithali 22:1
Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi; kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu.
Explore Mithali 22:1
4
Mithali 22:24
Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika
Explore Mithali 22:24
5
Mithali 22:9
Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini.
Explore Mithali 22:9
6
Mithali 22:3
Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele, naye hupata madhara.
Explore Mithali 22:3
7
Mithali 22:7
Matajiri huwatawala maskini naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye.
Explore Mithali 22:7
8
Mithali 22:2
Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: BWANA ni Muumba wao wote.
Explore Mithali 22:2
9
Mithali 22:22-23
Usiwadhulumu maskini kwa sababu ni maskini, wala kumdhulumu mhitaji mahakamani, kwa sababu BWANA atawatetea naye atawateka hao waliowateka.
Explore Mithali 22:22-23
Home
Bible
Plans
Videos