1
Wafilipi 1:6
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Kristo Yesu.
Compare
Explore Wafilipi 1:6
2
Wafilipi 1:9-10
Haya ndio maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote, ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo
Explore Wafilipi 1:9-10
3
Wafilipi 1:21
Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Explore Wafilipi 1:21
4
Wafilipi 1:3
Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.
Explore Wafilipi 1:3
5
Wafilipi 1:27
Lakini lolote litakalotukia, mwenende kama ipasavyo Injili ya Kristo, ili nikija na kuwaona au ikiwa sipo, nipate kusikia haya juu yenu: Kuwa mnasimama imara katika roho moja, mkiishindania imani ya Injili kwa umoja
Explore Wafilipi 1:27
6
Wafilipi 1:20
Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Kristo atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.
Explore Wafilipi 1:20
7
Wafilipi 1:29
Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake
Explore Wafilipi 1:29
Home
Bible
Plans
Videos