1
Nahumu 1:7
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
BWANA ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea
Compare
Explore Nahumu 1:7
2
Nahumu 1:3
BWANA si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu, BWANA hataacha kuadhibu wenye hatia. Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani, na mawingu ni vumbi la miguu yake.
Explore Nahumu 1:3
3
Nahumu 1:2
BWANA ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; BWANA hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. BWANA hulipiza kisasi juu ya watesi wake, naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake.
Explore Nahumu 1:2
Home
Bible
Plans
Videos