1
Yoshua 24:15
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Lakini msipoona vyema kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia, kama ni miungu ile baba zenu waliitumikia ngʼambo ya Frati, au miungu ya Waamori, ambao mnakaa katika nchi yao. Lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia BWANA.”
Compare
Explore Yoshua 24:15
2
Yoshua 24:14
“Sasa basi mcheni BWANA na kumtumikia kwa uaminifu wote. Itupeni mbali miungu ambayo baba zenu waliiabudu huko ngʼambo ya Mto na huko Misri, nanyi mtumikieni BWANA.
Explore Yoshua 24:14
3
Yoshua 24:16
Ndipo hao watu wakajibu, “Hili jambo liwe mbali nasi la kumsahau BWANA na kuitumikia miungu mingine!
Explore Yoshua 24:16
Home
Bible
Plans
Videos