1
Wagalatia 1:10
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Je, sasa mimi ninatafuta kukubaliwa na wanadamu au kukubaliwa na Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa bado najaribu kuwapendeza wanadamu, nisingekuwa mtumishi wa Kristo.
Compare
Explore Wagalatia 1:10
2
Wagalatia 1:8
Lakini hata ikiwa sisi au malaika atokaye mbinguni akihubiri Injili nyingine tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi mtu huyo alaaniwe milele!
Explore Wagalatia 1:8
3
Wagalatia 1:3-4
Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi, yeye aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu wa sasa ulio mbaya, sawasawa na mapenzi yake yeye aliye Mungu na Baba yetu.
Explore Wagalatia 1:3-4
Home
Bible
Plans
Videos