1
Amosi 5:24
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Lakini acheni haki itiririke kama mto, na uadilifu uwe kama kijito kisichokauka!
Compare
Explore Amosi 5:24
2
Amosi 5:14
Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo BWANA Mungu wa majeshi atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi.
Explore Amosi 5:14
3
Amosi 5:15
Yachukieni maovu, yapendeni mema; dumisheni haki mahakamani. Yamkini BWANA Mungu wa majeshi atawahurumia mabaki ya Yusufu.
Explore Amosi 5:15
4
Amosi 5:4
Hili ndilo asemalo BWANA kwa nyumba ya Israeli: “Nitafuteni mpate kuishi
Explore Amosi 5:4
Home
Bible
Plans
Videos