1
Matendo 15:11
Neno
NEN
Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, kama wao wanavyookolewa.”
Compare
Explore Matendo 15:11
2
Matendo 15:8-9
Mungu, ajuaye mioyo ya watu, alionesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupatia sisi. Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.
Explore Matendo 15:8-9