1
2 Wakorintho 10:5
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Tunaangusha mawazo na kila kitu kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu, na kuteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo.
Compare
Explore 2 Wakorintho 10:5
2
2 Wakorintho 10:4
Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome.
Explore 2 Wakorintho 10:4
3
2 Wakorintho 10:3
Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo.
Explore 2 Wakorintho 10:3
4
2 Wakorintho 10:18
Kwa maana si yeye ajisifuye mwenyewe akubaliwaye, bali yeye ambaye Bwana humsifu.
Explore 2 Wakorintho 10:18
Home
Bible
Plans
Videos