1
Luka MT. 13:24
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Akawaambia, Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba; kwa maana nawaambieni ya kwamba watu wengi watatafuta kuingia nao bawataweza.
Paghambingin
I-explore Luka MT. 13:24
2
Luka MT. 13:11-12
Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu miaka kumi na minane: nae amepindana, asiweze kujiinua kabisa. Bassi Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, Ee mwanamke, umefunguliwa udhaifu wako.
I-explore Luka MT. 13:11-12
3
Luka MT. 13:13
Akaweka mikono yake juu yake, akanyoka marra hiyo, akaanza kumtukuza Mungu.
I-explore Luka MT. 13:13
4
Luka MT. 13:30
Kafahamuni, wako wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, na wako wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.
I-explore Luka MT. 13:30
5
Luka MT. 13:25
Tokea wakati ule atakapoondoka mwenye nyumba na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkinena, Bwana, Bwana! utufungulie; nae akajibu, akawaambieni, Siwajui mtokako
I-explore Luka MT. 13:25
6
Luka MT. 13:5
Nawaanibieni, Sivyo: lakini msipotubu, nyote mtaangamia vivyo hivyo.
I-explore Luka MT. 13:5
7
Luka MT. 13:27
nae atasema, Nawaambieni, Siwajui mtokako: ondokeni mbali nami, ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.
I-explore Luka MT. 13:27
8
Luka MT. 13:18-19
Bassi, akasema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Na niufananishe na nini? Umefanana na punje ya kharadali, aliyotwaa mtu akaitupa katika shamba lake, ikakua, ikawa mti mkubwa, ndege za anga wakatua katika matawi yake.
I-explore Luka MT. 13:18-19
Home
Biblia
Mga Gabay
Mga Palabas