1
Luka MT. 6:38
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Toeni, nanyi mtapewa: kipimo chema kilichoshindiliwa, kilichosukwasukwa, kinachofurika ndicho watu watakachowapa ninyi kifuani mwenu. Kwa maana kipimo kile kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa na ninyi.
ஒப்பீடு
Luka MT. 6:38 ஆராயுங்கள்
2
Luka MT. 6:45
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa lililo jema: na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa lililo ovu: kwa sababu kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
Luka MT. 6:45 ஆராயுங்கள்
3
Luka MT. 6:35
Bali wapendeni adui zenu, katendeni kwa ihsani, kopeshani, bali kutumaini kupata kitu tena: na thawabu yenu itakuwa nyingi, na mtakuwa wana wa Aliye juu sana; kwa sabahu Yeye yu mwema kwa watu wasio na shukrani, na waovu.
Luka MT. 6:35 ஆராயுங்கள்
4
Luka MT. 6:36
Bassi mwe na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma. Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa
Luka MT. 6:36 ஆராயுங்கள்
5
Luka MT. 6:37
msipatilize, nanyi hamtapatilizwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa.
Luka MT. 6:37 ஆராயுங்கள்
6
Luka MT. 6:27-28
Bali nawaambia ninyi mnaosikiliza, Wapendeni adui zenu, watendeni mema wao wawachukiao ninyi, wabarikini wao wawalaanio ninyi, waombeeni wao watendao ninyi jeuri.
Luka MT. 6:27-28 ஆராயுங்கள்
7
Luka MT. 6:31
Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, nanyi watendeeni vivyo hivyo.
Luka MT. 6:31 ஆராயுங்கள்
8
Luka MT. 6:29-30
Akupigae shavu moja, umgeuzie la pili, nae akunyangʼanyae joho yako usimzuilie na kanzu. Killa akuombae mpe; nae akunyangʼanyae mali zako, usitake akurudishie.
Luka MT. 6:29-30 ஆராயுங்கள்
9
Luka MT. 6:43
Maana hapana mti mwema uzaao matunda mabovu; wala mti mbovu uzaao matunda mema.
Luka MT. 6:43 ஆராயுங்கள்
10
Luka MT. 6:44
Kwa maana killa mti hujulikana kwa matunda yake. Kwa kuwa katika miiba hawachumi tini, wala katika michongoma hawachumi zabibu.
Luka MT. 6:44 ஆராயுங்கள்
முகப்பு
வேதாகமம்
வாசிப்புத் திட்டங்கள்
காணொளிகள்