Tusome Biblia Pamoja (Julai)

Tusome Biblia Pamoja (Julai)

Siku 31

Sehemu ya 7 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia yote pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge nawe kila wakati unapoaza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza kwa chini ya dakika 20 kila siku! Kila sehemu inajumuisha sura za Agano la Kale na Agano Jipya, pamoja na Zaburi ikiwa imetawanyika kote kote. Sehemu ya saba inajumuisha vitabu vya Samueli wa Pili, Wafalme wa Kwanza na wa Pili na Mariko.

Mchapishaji

Mpango huu uliundwa na LifeChurch.tv.

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 100000 wamemaliza