Programu ya Biblia ni bure kabisa, haina matangazo na hakuna ununuzi wa ndani ya programu. Pata programu
Tusome Biblia Pamoja (Agosti)

31 Siku
Sample Day 1Sehemu ya 8 ya msururu wa sehemu 12, mpango huu unaongoza jamii kupitia Biblia nzima pamoja kwa siku 365. Waalike wengine wajiunge kila wakati unapoanza sehemu mpya kila mwezi. Msururu huu hufanya vyema na Biblia sikizi—sikiliza chini ya dakika 20 kila siku. Kila sehemu inajumuisha sura za Agano Jipya na Agano la Kale, na Zaburi ikiwa imetawanyika kote. Sehemu ya 8 inajumuisha kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Kwanza na ya Pili, Wathesalonike wa kwanza na Pili na Ezra.
Tungependa kuwashukuru Life.Church kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi tembelea tuvuti ya www.life.church
About The Publisher