Furaha

Siku 3

Furaha ni muhimu katika imani ya mkristu Furaha yako hukuwa kwa kupatana na Mungu kwa kutafakari neno Lake. Mistari yafuatayo ukiyakukariri, yatakusaidia kuongeza furaha kataika maisha yako. Wacha maisha yako ibadilike kwa kukaririneno la Mungu. Kwa maagizo ya kukariri Bibilia, fuata http://www.MemLok.com

Mchapishaji

Tui penda kushukuru MemLok, mfumo wa kumbukumbu ya Bibilia, kwa kutupatia mipangilio ya mpango huu. Kwa maelezo zaidi kuhusu MemLok, nenda kwa: http://www.MemLok.com

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 750000 wamemaliza