Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

SIKU 31 YA 31

Kitabu cha Mithali kinaanza na agizo la kumcha Bwana. Yaani,kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa(1:7); na kinakamilisha ujumbe wake na picha ya mwanamke awajibikaye kutimiza amri hii. Sifa za mke huyu ni bidii ya kazi, heshima kwa mumewe, maono, kufariji, kujali wahitaji, na hekima katika matumizi ya mali. Sifa hizizikiambatana na hofu kwa Munguhuleta furaha, heshima, fanaka na thamani kwa mke huyu kwanza, kisha kwa wote wanaohusiana naye. Mithali zinatuhekimisha, zikituongoza katika kuamua na kisha kuishi apendavyo Mungu.

siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku / Oktoba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Oktoba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Oktoba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha