Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Siku 21 za KufungaMfano

21 Day Fast

SIKU 9 YA 21

Huu ni wakati wa kuchunguza jinsi unavyoweza kuutoa mwili wako kama sadaka iliyohai kwa Mungu. Hiki kifungu kinaanza na changamoto na inatoa njia tofauti kuonyesha. Kwa njia gani mfungo umekusaidia kufanya ibaada ya kweli katika njia mpya? Sali leo na muombe Mungu aendelee kukuonesha mapenzi yake kwako katika kipindi hiki cha kujitoa na ibada.

Andiko

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

21 Day Fast

Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi...

More

We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha