Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Siku 21 za KufungaMfano

21 Day Fast

SIKU 2 YA 21

Wakati wa ufungo huu, jenga madhabahu kisha weka sadaka inayomheshimu Mungu juu yake. Itakugharimu hali yako, faraja yako, na pia itachukua nguvu zako na dhamira. Sadaka yako itakuwa nini wakati huu wa ufungo? Hakikisha ni sadaka ambayo itakugharimu kitu. Andika dhamira yako na mshirikishe rafiki wako ambaye atakufanya uwajibikie dhamira yako. Omba ili Mungu akuonyeshe ni nini anachotaka kama sadaka kutoka kwako.
siku 1siku 3

Kuhusu Mpango huu

21 Day Fast

Anza mwaka mpya kwa kulenga nidhamu ya kiroho ya kufunga. Mpango huu unajumuisha vifungu kadhaa kuhusu kufunga, vingine vinahimiza kutafakari ukaribu na Mungu. Kwa siku 21, utapata somo la Biblia la kila siku, ibada fupi...

More

We'd like to thank Life.Church for their generosity in providing the structure for the 21 Day Fast reading plan.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha