Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2021

SIKU 8 YA 30

Mkristo anayefanya kazi kwa mtu mwingine anapaswa kuifanya vizuri, maana yupo chini ya Bwana wakati wote. Labda mkuu wetu kazini hajui jinsi tunavyofanya kazi yetu, lakini Mungu anajua! Kumbuka kwamba ni mapenzi ya Mungu kwamba tuwe tunafanya kazi, na ni neema yake tukiwa na afya na uwezo wa kufanya kazi inayotupatia riziki. Kwa hiyo kama umepata kazi, ifanye kwa bidii na kwa uaminifu, maana kwa njia hii utabarikiwa na Mungu. Zingatia agizo la m.23-24, maana ni kipimo kizuri kwa matendo yetu: Lo lote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo. 

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2021

Soma Biblia Kila Siku Septemba 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Wakolosai, 2 Samweli na Ufunuo. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la...

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha