Tito 3:2
Tito 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wasimtukane mtu ye yote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha upole wote kwa watu wote.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi bali wawe wema, wakiwa wapole kwa watu wote.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakiwa wapole sana kwa watu wote.
Shirikisha
Soma Tito 3