Tito 3:10-11
Tito 3:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye. Wajua kwamba mtu wa namna hiyo amepotoka kabisa, na dhambi zake zathibitisha kwamba amekosea.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye. Wajua kwamba mtu wa namna hiyo amepotoka kabisa, na dhambi zake zathibitisha kwamba amekosea.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, tengana naye; maana unajua ya kuwa mtu kama huyo ni mpotovu na mtenda dhambi, naye amejihukumia hatia yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae; ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia yeye mwenyewe.
Shirikisha
Soma Tito 3