Tito 3:1-2
Tito 3:1-2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Wakumbushe watu kunyenyekea kwa watawala na kwa wenye mamlaka, na kutii, wakiwa tayari kutenda kila lililo jema, wasimnenee mtu yeyote mabaya, wasiwe wagomvi bali wawe wema, wakiwa wapole kwa watu wote.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakumbushe watu kuwastahi watawala na wenye mamlaka, kuwatii na kuwa tayari kwa kila namna kutenda mambo yote mema. Waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikilizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.
Shirikisha
Soma Tito 3Tito 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa watawala na wenye mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema; wasimtukane mtu yeyote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakiwa wapole sana kwa watu wote.
Shirikisha
Soma Tito 3