Tito 2:4-5
Tito 2:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto, wawe na kiasi na safi, waangalie vizuri mambo ya nyumbani, na wawatii waume zao, ili ujumbe wa Mungu usije ukadharauliwa.
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao, na kuwapenda watoto wao; na kuwa wenye kiasi, kuwa safi, kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao wenyewe; ili neno la Mungu lisitukanwe.
Shirikisha
Soma Tito 2