Tito 2:3
Tito 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Hali kadhalika waambie wanawake wazee wawe na mwenendo wa uchaji wa Mungu; wasiwe wachongezi au watumwa wa pombe. Wanapaswa kufundisha mambo mema
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu; wasiwe wasingiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wanaofundisha yaliyo mema
Shirikisha
Soma Tito 2