Tito 2:14
Tito 2:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wawe milki yake mwenyewe, wale walio na juhudi katika matendo mema.
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wake mwenyewe walio na bidii katika matendo mema.
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye alijitoa mwenyewe kwa ajili yetu ili atukomboe kutoka katika uovu wote na kutufanya watu safi walio wake yeye mwenyewe, watu walio na hamu ya kutenda mema.

Soma Tito 2