Tito 2:13
Tito 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
tukiwa tunangojea siku ile ya heri tunayoitumainia, wakati utakapotokea utukufu wa Mungu Mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tukilitazamia tumaini lenye baraka na kufunuliwa kwa utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu
Shirikisha
Soma Tito 2