Tito 2:1
Tito 2:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Bali wewe fundisha yale yaliyo sahihi kulingana na mafundisho ya kweli.
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe unapaswa kuhubiri mafundisho sahihi.
Shirikisha
Soma Tito 2Tito 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wewe, nena mambo yanayoambatana na mafundisho mema
Shirikisha
Soma Tito 2